Udhamini

Tuzo za kilimo zinatambua na kusheherekea watu binafsi na makampuni yenye ubunifu yaliyoonesha ufanisi katika kilimo cha Tanzania na mvuto wa thamani. Kwa sasa tuna vifurushi vya udhamini kwa ajili ya tuzo hizi muhimu katika ngazi mbalimbali zinazoshabiiana na malengo ya biashara yako. Kudhamini kipengele husika hakutakufanya kuwa kampuni inayoongoza ndani ya soko lenye ushindani tu, bali pia kutakupatia nafasi ya kurudisha kitu kwa wateja wako ambacho ni muhimu katika maendeleo yako kibiashara.

Kufahamu Zaidi juu ya nafasi za udhamini, wasiliana na:

  • Simu : +255-676-303880