Biashara bora ya kilimo ya mwaka.

kipengele cha mfanyabiashara bora wa mwaka katika sekta ya kilimo kitaangalia taasisi yenye mafanikio....

Mafanikio bora ya mwaka.

kipengele hiki kitaangalia watu binafsi au taasisi kwenye kilimo cha Tanzania na biashara ya mazao ya....

Mkulima bora wa mwaka mwanamke

kipengele hiki kitaangalia wanawake wakulima hapa Tanzania na kuonyesha umahiri, ubunifu, ubora,....

Mkulima bora wa mwaka.

kipengele hiki kitaangalia wakulima wa hapa Tanzania walionyesha ubunifu, umahiri, ubora, ufanyaji kazi kwa....

Ubora kwenye afya na usalama.

kipengele hiki kitaangalia taasisi za kilimo ambazo zimeonyesha umahiri mkubwa katika kuhakikisha afya na....

Ubora kwenye elimu na mafunzo.

kipengele hiki kitaangalia taasisi za kitanzania zinazotoa mafunzo ya kilimo ambazo zimeonyesha umahiri katika kutoa mafunzo na mwendelezo mzima wa elimu ya kilimo.

.

Ubunifu kwenye biashara ya kilimo

kipengele hiki kitaaangalia miradi na shughuli zote za kilimo zilizoonyesha ubunifu wa kweli. hii....

Vijana kwenye kilimo

Kipengele hiki kitaangalia vijana wanaojishughulisha na kilimo hapa Tanzania ambao wameonesha umahiri, ubunifu,....